00:00
00:01

2. Kanisa linapoteza ushuhuda wa Injili

Katika ujumbe huu, mchungaji Elly Achok Olare anadadisi nafasi ya kanisa, hadhi yake na mabadilko yaliyopelekea ukristo mamboleo. Atachagiza kuwa kanisa kama vile chumvi ya Mathayo 5:1:12 imepoteza sura yake na kwa hivyo kuibwaga huduma ya Injili

111924844434612
58:59
Nov 19, 2024
Conference
Swahili
Next
Previous
Add a Comment
Only Users can leave comments.
Comments
    No Comments
SA Spotlight