00:00
00:01
1. Amri kuu Ingaliko
Series SWAHILI CHANNEL
Katika ujumbe huu mchungaji Elly Achok anawachagiza wanavyuoni juu ya amri kuu kama alivyoiagiza bwana wetu Yesu Kristo katika Mathayo 28:18-20. Mchungaji Elly atahoji kuwa kama walivyosikia mari hiyo wale wa kale, hjata sis leo twajukumika kuiskia upya katika huduma zetu.
Sermon ID | 111924831572514 |
Duration | 52:59 |
Date | Nov 19, 2024 |
Category | Conference |
Bible Text | Matthew 28:18-20 |
Language | Swahili |